IQNA

Qiraa ya Heshima ya Qari wa Iran katika Mashindano ya 40 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran (+Video)

IQNA - Qassem Moqaddami, qari maarufu wa Iran, alikuwa qari mgeni wa heshima wa usiku wa tatu wa Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.

Ustadh Moqaddami alisoma Aya za 1-36 za Surah Taha:

Habari zinazohusiana