IQNA

Muislamu Mjapani asema Qur'ani ni Kama “Dawa Iliyoponya Baada ya Madaktari Kushindwa”

Muislamu Mjapani asema Qur'ani ni Kama “Dawa Iliyoponya Baada ya Madaktari Kushindwa”

IQNA – Mhubiri wa Kiislamu mzaliwa wa Japani, Fatima Atsuko Hoshino, amesema kuwa Qur'ani Tukufu imempa majibu ya maswali aliyokuwa nayo kwa muda mrefu na imemponya maradhi ambayo wataalamu wa tiba walishindwa kuyatibu.
17:33 , 2025 Oct 31
Malaysia Yatumia Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) Kuharakisha Uchapishaji Nakala za Qur'ani

Malaysia Yatumia Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) Kuharakisha Uchapishaji Nakala za Qur'ani

IQNA – Serikali ya Malaysia imezindua mfumo mpya uitwao iTAQ unaotumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI) kuharakisha mchakato wa kuthibitisha usahihi wa machapisho ya nakala za Qur'ani Tukufu.
17:22 , 2025 Oct 31
Mtafiti Asema Qur'ani Tukufu Inahimiza Mazungumzo ya Kitamaduni kwa Msingi wa Heshima na Kutambuana

Mtafiti Asema Qur'ani Tukufu Inahimiza Mazungumzo ya Kitamaduni kwa Msingi wa Heshima na Kutambuana

IQNA – Mwanazuoni wa masuala ya dini, Reza Malazadeh Yamchi, amesema kuwa Qur'ani Tukufu inatoa msingi wa maadili kwa uelewano baina ya tamaduni, ikisisitiza heshima, usawa, na mazungumzo badala ya ubabe wa kitamaduni.
17:16 , 2025 Oct 31
Mwanachuoni mkongwe wa Qur'an kutoka Misri, Sheikh Ghalban, aenziwa

Mwanachuoni mkongwe wa Qur'an kutoka Misri, Sheikh Ghalban, aenziwa

IQNA – Mwenyekiti wa Umoja wa Wanachuoni wa Qur'ani wa mkoa wa Kafr el-Sheikh nchini Misri amempa heshima maalum Sheikh Mohammed Younis al-Ghalban, gwiji wa usomaji wa Qur'an.
17:11 , 2025 Oct 31
Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Nchini Kyrgyzstan Yafikia Tamati

Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Nchini Kyrgyzstan Yafikia Tamati

IQNA – Mashindano ya Tatu ya Kitaifa ya Qur'an nchini Kyrgyzstan yametamatika rasmi kwa hafla maalum iliyofanyika siku ya Jumatano.
17:07 , 2025 Oct 31
UAE: Mashindano ya Kimataifa ya Qurani kuanza Novemba 1

UAE: Mashindano ya Kimataifa ya Qurani kuanza Novemba 1

IQNA – Mashindano makubwa ya Qurani yatakayoshirikisha washiriki kutoka ndani na nje ya nchi huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yataanza rasmi tarehe 1 Novemba.
16:57 , 2025 Oct 29
Nakala Kubwa Zaidi ya Qurani Duniani Iliyoandikwa Kwa Mkono

Nakala Kubwa Zaidi ya Qurani Duniani Iliyoandikwa Kwa Mkono

IQNA – Mafanikio ya kihistoria katika sanaa ya hati za Kiislamu yamezinduliwa mjini Istanbul: Ni nakala kubwa zaidi ya Qur'ani duniani iliyoandikwa kwa mkono, matokeo ya juhudi za miaka sita bila kukata tamaa.
16:51 , 2025 Oct 29
Kiongozi Mkuu wa Al-Azhar Misri Aitaka Italia Itambue Palestina

Kiongozi Mkuu wa Al-Azhar Misri Aitaka Italia Itambue Palestina

IQNA – Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri amebainisha matumaini kuwa Italia itaungana na idadi inayoongezeka ya mataifa ambayo tayari yametambua rasmi taifa la Palestina.
16:45 , 2025 Oct 29
Kampeni ya kusambaza nakala  50,000 Qur'ani nchini Mauritania

Kampeni ya kusambaza nakala 50,000 Qur'ani nchini Mauritania

IQNA – Jumuiya ya Qur'ani Tukufu ya Mauritania imetangaza uzinduzi wa kampeni ya kusambaza nakala 50,000 za Qurani nchini humo.
16:41 , 2025 Oct 29
Papa Leo Kutembelea 'Msikiti wa Sultan Ahmed'  Istanbul katika Ziara yake ya Kwanza Kimataifa

Papa Leo Kutembelea 'Msikiti wa Sultan Ahmed' Istanbul katika Ziara yake ya Kwanza Kimataifa

IQNA – Kiongozi wa Kanisa Katoliki anapanga kusafiri kuelekea nchini Uturuki, ambapo atatembelea Msikiti wa Sultan Ahmed maarufu kama Blue Mosque, ulioko mjini Istanbul.
16:35 , 2025 Oct 29
Msomi: Iran ni kinara wa kustawisha Qur’ani Tukufu katika Ulimwengu wa Kiislamu

Msomi: Iran ni kinara wa kustawisha Qur’ani Tukufu katika Ulimwengu wa Kiislamu

IQNA – Mkuu wa Taasisi ya Wakfu na Misaada ya Iran ameielezea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ndiyo kinara wa kukuza Qur’ani Tukufu katika ulimwengu wa Kiislamu.
09:40 , 2025 Oct 28
Haki ya Jamii Katika Utajiri wa Asili: Msingi wa Ushirikiano

Haki ya Jamii Katika Utajiri wa Asili: Msingi wa Ushirikiano

IQNA – Mbali na ukweli kwamba mali kwa asili ni ya Mwenyezi Mungu ambaye ameikabidhi kwa mwanadamu, utajiri wa asili pia ni haki ya wanajamii wote, kwani rasilimali hizi ziliumbwa kwa ajili ya watu wote, si kwa ajili ya mtu binafsi au kikundi maalum.
07:36 , 2025 Oct 28
Serikali ya Marekani yalaani kwa kumkamata mwandishi mtetezi wa Palestina

Serikali ya Marekani yalaani kwa kumkamata mwandishi mtetezi wa Palestina

IQNA-Mwandishi wa habari raia wa Uingereza anayejulikana kwa kuunga mkono Palestina amekamatwa nchini Marekani na shirika la Uhamiaji na Forodha (ICE), kufuatia shinikizo kutoka kwa makundi yanayoiunga mkono Israel.
07:16 , 2025 Oct 28
Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani Iran: Washindi Watangazwa

Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani Iran: Washindi Watangazwa

IQNA – Kamati ya maandalizi ya Mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Iran imetangaza rasmi majina ya washindi wa tukio hilo mashuhuri la Kiqur’ani.
07:09 , 2025 Oct 28
Iran yatilia mkazo utalii  'Halal' kwa lengo la kuimarisha mahusiano na ulimwengu wa Kiislamu

Iran yatilia mkazo utalii 'Halal' kwa lengo la kuimarisha mahusiano na ulimwengu wa Kiislamu

IQNA – Waziri wa Urithi wa Kitamaduni, Utalii na Sanaa za Mikono wa Iran, Seyyed Reza Salehi Amiri, amesema kuwa utalii 'Halal' ni jukwaa muhimu katika kukuza mwingiliano wa kitamaduni na kuwavutia wageni Waislamu.
07:01 , 2025 Oct 28
1