Habari Maalumu
IQNA – Jumanne, tarehe 15 Julai 2025, jua limeonekana moja kwa moja juu ya Al-Kaaba huko Makka, hali itakayowawezesha Waislamu kote duniani kuthibitisha...
15 Jul 2025, 19:22
IQNA – Mamlaka ya Iran imetangaza kuwa mfululizo wa matukio ya kitaifa na ya kimataifa yatafanyika kwa ajili ya kuadhimisha miaka 1500 tangu kuzaliwa kwa...
14 Jul 2025, 17:48
IQNA – Hijra ya Arbaeen ya mwaka 1447 Hijria imeanza rasmi, huku maelfu ya mahujaji wakiianza safari yao kwa miguu kutoka eneo la Ras al-Bisheh, lililoko...
14 Jul 2025, 17:18
IQNA – Mpango wa kitaifa wa usomaji wa Qur’ani Tukufu umeanzishwa rasmi nchini Algeria, ukilenga kusambaza shughuli za Qur’ani katika misikiti mbalimbali...
14 Jul 2025, 17:37
IQNA – Hafla maalum imefanyika katika mji wa Karasu, ulioko kaskazini magharibi mwa Uturuki katika mkoa wa Sakarya, kuwaenzi wasichana 34 waliokamilisha...
14 Jul 2025, 17:28
IQNA – Semina maalum kuhusu "Vipengele vya Miujiza ya Kisayansi katika Qur’an Tukufu Kuhusiana na Upepo" inatarajiwa kufanyika leo katika Msikiti mkuu...
14 Jul 2025, 17:24
IQNA – Zohreh Qorbani, mama mchanga kutoka Iran, asema kuwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kumemletea mpangilio, utulivu wa moyo, na uwazi wa kiroho katika maisha...
13 Jul 2025, 15:30
IQNA – Kutoka katika ulimwengu wa mitindo mjini Moscow hadi katika mapambano na kifo, maisha ya mwanamke wa Kirusi, Lyudmila Anufrieva, yalichukua mkondo...
13 Jul 2025, 15:21
IQNA-Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali mauaji ya kiongozi maarufu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, Sheikh Rasoul...
13 Jul 2025, 15:34
IQNA – Kama ilivyokuwa katika miaka iliyopita, mamlaka za Bahrain zimeendelea kuweka vizuizi juu ya maombolezo ya Muharram, hasa katika siku ya Ashura,...
13 Jul 2025, 15:08
IQNA – Mashindano ya usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa tarteel kwa watoto yamefanyika mjini Karbala, yakiandaliwa na Jumuiya ya Sayansi za Qur’ani ya Haram...
13 Jul 2025, 15:01
IQNA – Maelfu ya watu wamekusanyika Srebrenica siku ya Alhamisi kuadhimisha miaka 30 tangu mauaji ya kimbari ya mwaka 1995, ambapo miili ya wahanga saba...
12 Jul 2025, 22:24
IQNA – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (CAIR) limeitaka kampuni ya uwekezaji ya Sequoia Capital kumwondoa mshirika wake Shaun Maguire, kufuatia...
12 Jul 2025, 22:40
IQNA – Maktaba ya Msikiti wa Mtume au Al Masjid An Nabawi mjini Madina inafanya kazi kama taasisi ya umma inayotoa huduma mbalimbali kwa watafiti na wageni...
12 Jul 2025, 21:47
IQNA – Polisi nchini Uingereza wameanzisha uchunguzi kupitia kamera za usalama (CCTV) kufuatia tukio lililoripotiwa la matusi ya maneno dhidi ya waumini...
12 Jul 2025, 21:25