IQNA – Zaidi ya watu 97,000 kutoka mataifa mbalimbali walitembelea Kituo cha Uchapishaji Qur’ani cha Mfalme Fahd kilichopo Madina, Saudi Arabia mwezi Agosti 2025.
IQNA – Baraza la Mipango na Uratibu kutoka ofisi ya Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu katika Masuala ya Hija na Ziara, pamoja na Shirika la Hija na Ziara la Iran, wameanza maandalizi ya safari ya Hija ya mwaka ujao.
IQNA – Jumba la Makumbusho ya Sanaa la Houston, jimbo la Texas nchini Marekani, linaandaa maonyesho ya nakala za Qur’ani kutoka maeneo mbalimbali ya ulimwengu wa Kiislamu.
IQNA – Uharibifu wa msikiti mmoja huko Basildon wiki iliyopita umekemewa vikali na umeibua wasiwasi mpya kuhusu kuongezeka kwa chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) nchini Uingereza.
IQNA – Msikiti wa kihistoria wa al-Nouri, ulioko katika jiji la Mosul kaskazini mwa Iraq, umefunguliwa rasmi baada ya kukamilika kwa operesheni ya ukarabati.
IQNA – Rais wa Shirikisho la Wasomi wa Qur’ani la Misri amesema kuwa mashindano ya kitaifa yanafungua milango ya kugundua vipaji vipya miongoni mwa vijana wahifadhi wa Qur’ani Tukufu.
IQNA – Sheikh Ahmed Al-Maasrawi, ambaye ameishi Malaysia kwa miaka kadhaa, ametangaza kukamilisha mradi wake wa pamoja na Taasisi ya Uchapishaji wa Qur’ani ya Restu.
IQNA – Mtume Muhammad (SAW) alifanikiwa kuunda jamii moja kutoka kwa makabila yaliyoachana kwa kutumia huruma na rehema zake, amesema msomi mmoja nchini Iran.
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem, ametuma salamu za rambirambi kwa taifa la Yemen kufuatia kuuawa shahidi kwa Waziri Mkuu wa Yemen, Ahmad Ghaleb Al-Rahawi, pamoja na mawaziri kadhaa wa serikali yake katika shambulio la anga la Israel lililofanyika hivi karibuni mjini Sanaa.
IQNA – Uongozi wa Palestina wa Jimbo la al-Quds umetangaza kuwa Israel inafanya uchimbaji haramu chini ya Msikiti wa Al-Aqsa ulioko Mashariki mwa al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu, na kusababisha uharibifu wa athari za Kiislamu.
IQNA – Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiiraqi ya Asaib Ahl Al-Haq, Sheikh Qais Al-Khazali, amesisitiza kuwa kulinda na kuendeleza Hashd al-Sha’abi (Vikosi vya Kujitolea vya Wananchi– PMU) ni takwa la watu wote wa Iraq.
IQNA – Mashindano ya Qur’ani yalifanyika kwa ajili ya wanafunzi mahiri waliokuwa wakihudhuria kozi za Qur’ani za majira ya kiangazi zilizoandaliwa na Jumuiya ya Kisayansi ya Qur’ani Tukufu chini ya usimamizi wa Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Abul-Fadhlil Abbas (AS).
IQNA – Mufti wa New Zealand ameipongeza hafla ya Malaysia 'Quran Hour' yaani Saa ya Qur'ani kwa kuhamasisha Waislamu kuhusu Kitabu Kitukufu cha Mwenyezi Mungu.