IQNA

Ripoti: Mufti wa zamani wa Syria ahukumiwa kifo

Ripoti: Mufti wa zamani wa Syria ahukumiwa kifo

IQNA – Baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kuwa Sheikh Badreddin Hassoun, aliyewahi kuwa Mufti Mkuu wa Syria katika utawala wa Bashar al-Assad, amehukumiwa adhabu ya kifo.
15:08 , 2025 Dec 11
Mchango wa Wanawake Katika Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran

Mchango wa Wanawake Katika Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran

IQNA – Afisa wa Wizara ya Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu Iran amesisitiza nafasi muhimu ya wanawake katika Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani ambayo hufanyika Tehran kila mwaka.
14:16 , 2025 Dec 11
Hafla ya usomaji wa Qur’ani katika Haram ya Imamu Ali (AS)

Hafla ya usomaji wa Qur’ani katika Haram ya Imamu Ali (AS)

IQNA – Hafla maalumu ya usomaji wa Qur’ani Tukufu imefanyika wiki hii katika haram tukufu ya Imamu Ali (AS) mjini Najaf, Iraq.
13:55 , 2025 Dec 11
Nakala 300 za Qur’ani ya Nukta Nundu (Braille) zasambazwa Indonesia

Nakala 300 za Qur’ani ya Nukta Nundu (Braille) zasambazwa Indonesia

IQNA – Katika mashindano ya kwanza ya kimataifa ya kuhifadhi Qur’ani kwa vipofu nchini Indonesia, nakalah 300 za Qur’ani ya kidijitali kwa mfumo wa nukta nundu (Braille) zilisambazwa kwa washiriki wenye uoni hafifu au ulemavu wa macho.
17:45 , 2025 Dec 10
Maonyesho yafanyika pembeni mwa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Nchini Misri

Maonyesho yafanyika pembeni mwa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Nchini Misri

IQNA – Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu la Misri limeandaa maonyesho maalumu sambamba na Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Qur’ani yanayofanyika nchini humo.
17:35 , 2025 Dec 10
Darasa za kuhifadhi Qur’ani zinaendelea Gaza licha ya vikwazo

Darasa za kuhifadhi Qur’ani zinaendelea Gaza licha ya vikwazo

IQNA – Licha ya vizuizi vya utawala katili wa Israel na ukosefu wa vifaa, Wapalestina Gaza bado wana hamu ya kujifunza na kuhifadhi Qur’ani Tukufu, na wanashiriki katika vikao vya Qur’ani Tukufu.
17:09 , 2025 Dec 10
Haram ya Imam Ali (AS) yapambwa kwa maua katika maadhimisho ya kuzaliwa kwa Bibi Zahra (AS)

Haram ya Imam Ali (AS) yapambwa kwa maua katika maadhimisho ya kuzaliwa kwa Bibi Zahra (AS)

IQNA – Kadiri siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bibi Fatima Zahra (AS) inavyokaribia, maelfu ya matawi ya maua halisi yamepamba uwanja na ukumbi wa haram tukufu ya Imam Ali (AS).
16:56 , 2025 Dec 10
Msomi: Urithi wa Qur’ani wa Ahlul-Bayt usiojulikana miongoni mwa Waislamu wengi

Msomi: Urithi wa Qur’ani wa Ahlul-Bayt usiojulikana miongoni mwa Waislamu wengi

IQNA – Leo, licha ya kuwepo kwa mamia ya majukwaa ya kielimu na ya vyombo vya habari, urithi wa Qur’ani wa Ahlul-Bayt (AS) bado haujulikani kwa Waislamu wengi duniani, alisema Sheikh Khairuddin Ali al-Hadi, mwanazuoni mashuhuri kutoka Iraq.
16:48 , 2025 Dec 10
Istighfar katika Qur’ani na Maneno ya Imam Ali (AS)

Istighfar katika Qur’ani na Maneno ya Imam Ali (AS)

IQNA – Katika Hadithi, Imam Ali (AS) amebainisha hakika ya kuomba msamaha na vigezo vya Istighfar (kuomba maghfirah).
16:18 , 2025 Dec 09
Qur’ani Tukufu Kutarjumiwa kwa Lugha ya Kimaasai

Qur’ani Tukufu Kutarjumiwa kwa Lugha ya Kimaasai

IQNA – Tarjuma ya Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kimaasai ipo mbioni kukamilika. Mradi huu mkubwa unaoendeshwa na Taasisi ya Mohammed Bakari ya Kenya unalenga kuimarisha ujumbe wa Uislamu miongoni mwa jamii zinazozungumza lugha ya Maa.
16:08 , 2025 Dec 09
Maelfu ya Maqari wa Qur’ani waomba dua ya amani na usalama Kano, Nigeria

Maelfu ya Maqari wa Qur’ani waomba dua ya amani na usalama Kano, Nigeria

IQNA – Kufuatia kuongezeka kwa vitendo vya ujambazi na vurugu, Serikali ya Jimbo la Kano nchini Nigeria imeandaa kikao cha dua maalum mwishoni mwa wiki, ikiwakusanya Maqari au wasomaji wa Qur’ani Tukufu wapatao 4,444 kuomba msaada wa Mwenyezi Mungu kwa ajili ya amani na usalama katika jimbo lote na nchi zima kwa ujumla.
15:40 , 2025 Dec 09
Mashindano ya 42 ya Kimataifa ya Qur’ani Nchini Iran: Hatua ya Awali Yaendelea

Mashindano ya 42 ya Kimataifa ya Qur’ani Nchini Iran: Hatua ya Awali Yaendelea

IQNA – Hatua ya awali ya Mashindano ya 42 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza kwa ushiriki wa washiriki kutoka nchi mbalimbali. Washindani wa mwanzo katika raundi hii walitoka India, Jordan, Oman, Yemen, Misri na Libya, pamoja na nchi nyingine.
15:16 , 2025 Dec 09
Mashindano makali katika Mpango wa Qur’ani wa ‘Dawlat al-Tilawa’ nchini Misri

Mashindano makali katika Mpango wa Qur’ani wa ‘Dawlat al-Tilawa’ nchini Misri

IQNA – Katika vipindi vipya vya shindano la vipaji vya Qur’ani nchini Misri linaloitwa “Dawlat al-Tilawa” , washiriki walionyesha uwezo wao wa kusoma na kuhifadhi aya za Qur’ani Tukufu.
14:56 , 2025 Dec 09
PICHA: Kitengo cha  Mafundisho ya Kiislamu katika Mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur’ani Iran

PICHA: Kitengo cha Mafundisho ya Kiislamu katika Mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur’ani Iran

IQNA – Sherehe ya kufunga kwa hatua ya mwisho ya Shindano la 48 la Kitaifa la Quran la Iran katika Sehemu ya Mafundisho ya Kiislamu, pamoja na Sehemu ya Kimataifa kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa, ilifanyika Jumamosi, Desemba 6, 2025.
19:01 , 2025 Dec 08
Video: Mahmoud Shahat Anwar asoma Qur’ani kwenye ufunguzi wa Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Qur’ani Misri

Video: Mahmoud Shahat Anwar asoma Qur’ani kwenye ufunguzi wa Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Qur’ani Misri

IQNA – Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Misri yamefunguliwa tarehe 6 Disemba 2025 kwa qira’a ya qari mashuhuri wa Misri, Mahmoud Shahat Anwar.
18:29 , 2025 Dec 08
3