IQNA

Muungano wa Walimu wa Marekani wataka Israel isitishe vita Lebanon na kuondolewa mzingiro kwenye bandari za Iran

Muungano wa Walimu wa Marekani wataka Israel isitishe vita Lebanon na kuondolewa mzingiro kwenye bandari za Iran

IQNA – Muungano wa Walimu wa Marekani (American Federation of Teachers - AFT) umeitupia lawama utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kusababisha mgogoro wa walimu katika ardhi za Palestina, huku ukitoa wito wa kukomeshwa kwa uchokozi dhidi ya Lebanon na kuondolewa kwa mzingiro haramu uliowekwa kwenye bandari za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
15:56 , 2026 Jul 21
Haram Tukufu ya Najaf yaandaa mafunzo maalumu ya urekebishaji wa hati za kale

Haram Tukufu ya Najaf yaandaa mafunzo maalumu ya urekebishaji wa hati za kale

IQNA – Kozi maalumu ya mafunzo kuhusu urekebishaji na uhifadhi wa hati za kale (manuscripts) imefanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, kwa ajili ya wanafunzi wa Kitivo cha Akiolojia na Turathi za Utamaduni cha Chuo Kikuu cha Kufa.
15:48 , 2026 Jul 21
Mfalme wa Uingereza atembelea Msikiti Mkuu wa Kwanza unaohifadhi Mazingira (Eco-Mosque) Ulaya mjini Cambridge

Mfalme wa Uingereza atembelea Msikiti Mkuu wa Kwanza unaohifadhi Mazingira (Eco-Mosque) Ulaya mjini Cambridge

IQNA – Mfalme Charles III wa Uingereza ametembelea Msikiti Mkuu wa Cambridge (Cambridge Central Mosque), ambao ndio msikiti wa kwanza barani Ulaya uliojengwa kwa kuzingatia uhifadhi wa mazingira (eco-mosque).
15:43 , 2026 Jul 21
Mashindano ya 18 ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani Tukufu nchini Bosnia na Herzegovina yamalizika

Mashindano ya 18 ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani Tukufu nchini Bosnia na Herzegovina yamalizika

IQNA – Mashindano ya 18 ya kusoma na kuhifadhi Qur’ani Tukufu nchini Bosnia na Herzegovina yalihitimishwa katika hafla iliyofanyika katika mji mkuu, Sarajevo.
15:39 , 2026 Jul 21
Mipaka ya Iran iko tayari kwa ajili ya wanaoelekea Ziyara ya Arbaeen

Mipaka ya Iran iko tayari kwa ajili ya wanaoelekea Ziyara ya Arbaeen

IQNA – Vituo vyote ya mipakainayoelekea nchini Iraq sasa vinafanya kazi kikamilifu na viko tayari kurahisisha uingiaji na utokaji wa wafanyaziyara wa Arbaeen, amesema afisa mmoja wa Iran.
21:51 , 2026 Jul 20
Wanazuoni wa Bahrain waonyesha uungaji mkono kwa kauli ya Ayatullah Isa Qassim

Wanazuoni wa Bahrain waonyesha uungaji mkono kwa kauli ya Ayatullah Isa Qassim

IQNA – Wanazuoni wa Bahrain wametangaza uungaji mkono wao kamili na mshikamano wao na kauli ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim kuhusu tishio la kuwepo linalowakabili Mashia wa nchi hiyo.
21:41 , 2026 Jul 20
Wazayuni wavamizi wachoma Msikiti na nyumba za Wapalestina Ukingo wa Magharibi

Wazayuni wavamizi wachoma Msikiti na nyumba za Wapalestina Ukingo wa Magharibi

IQNA – Magenge ya walowezi wa Kizayuni yamefanya mfululizo wa mashambulizi ya kikatili usiku wa Jumapili katika miji na vijiji mbalimbali katika wilaya za al-Khalil (Hebron) na Nablus katika eneo linalokaliw akwa mabavu na Israel la Ukingo wa Magharibi, ambapo wamechoma moto nyumba na msikiti, wamewashambulia wakazi, na kupora mifugo huku wakilindwa na wanajeshi wa utawala katili wa Israel.
11:43 , 2026 Jul 20
Mtaalamu wa Qur’ani: Kiongozi Shahidi ni Kielelezo cha Maisha ya Qur’ani katika Zama hizi

Mtaalamu wa Qur’ani: Kiongozi Shahidi ni Kielelezo cha Maisha ya Qur’ani katika Zama hizi

IQNA – Mtaalamu na msomaji maarufu wa Qur’ani wa Iran amemuelezea Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, kama kielelezo cha maisha ya Qur’ani katika zama zetu za kisasa.
11:35 , 2026 Jul 20
Wapalestina washerehekea ushindi wa Uhispania katika Kombe la Dunia, wasema ni pigo kwa Wazayuni

Wapalestina washerehekea ushindi wa Uhispania katika Kombe la Dunia, wasema ni pigo kwa Wazayuni

IQNA-Afisa mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Mapambano ya Palestina, Hamas, ametoa pongezi za dhati kwa Uhispania kufuatia ushindi wake baada ya mechi ngumu katika fainali ya Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2026, akielezea mafanikio hayo kuwa ni chanzo cha furaha kwa watu wa Palestina na wafuasi wote wa haki, huku akibainisha kuwa ushindi huo ni pigo hasa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel na wafadhili wake.
11:01 , 2026 Jul 20
Qari wa Iran, Ustadh Abolqassemi asoma Qur’ani katika Ibada ya Khitma ya Kiongozi Shahidi

Qari wa Iran, Ustadh Abolqassemi asoma Qur’ani katika Ibada ya Khitma ya Kiongozi Shahidi

IQNA – Katika Khitma ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, iliyofanyika katika Haramu Tukufu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, Qari mashuhuri wa Iran, Ustadh Ahmad Abolqassemi, aliongoza usomaji wa aya za 64 hadi 71 za Surah An-Nisa pamoja na Surah Al-Fatiha.
17:26 , 2026 Jul 19
Hafla ya Qur’ani Yafanyika Tehran Kumkumbuka Kiongozi Shahidi

Hafla ya Qur’ani Yafanyika Tehran Kumkumbuka Kiongozi Shahidi

IQNA – Hafla ya usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa ajili ya kumkumbuka Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, imefanyika katika Uwanja wa Vali Asr jijini Tehran mnamo tarehe 15 Julai, 2026.
17:22 , 2026 Jul 19
Mamdani kutafakari kumkamata Netanyahu wakati wa mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Mamdani kutafakari kumkamata Netanyahu wakati wa mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

IQNA – Meya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, amesema Jumamosi kuwa utawala wake unachunguza iwapo una mamlaka ya kisheria ya kumkamata Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atatembelea jiji hilo kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba.
17:18 , 2026 Jul 19
Waislamu nchini Australia waitaka serikali kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu

Waislamu nchini Australia waitaka serikali kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu

IQNA – Watetezi wa haki za Waislamu nchini Australia wametoa wito wa kutengwa kwa bajeti mpya na ya kutosha kwa ajili ya programu za kupambana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia), kufuatia hatua ya Chama cha Labour kukubali sehemu tu ya mpango uliopendekezwa na balozi maalum wa kushughulikia tatizo hilo.
17:16 , 2026 Jul 19
Nakala ya Qur’ani yatunukiwa nyota wa Soka wa Misri

Nakala ya Qur’ani yatunukiwa nyota wa Soka wa Misri

IQNA – Gavana wa Dakahlia, nchini Misri, amemtunuku nakala ya Qur’ani Tukufu Imam Ashour, mchezaji wa timu ya taifa ya Misri na klabu ya Al-Ahly, ikiwa ni ishara ya kutambua juhudi zake katika Kombe la Dunia la mwaka 2026.
17:11 , 2026 Jul 19
Programu ya kuelimisha watoto kupitia Hadithi za Qur’ani katika TV ya Misri

Programu ya kuelimisha watoto kupitia Hadithi za Qur’ani katika TV ya Misri

IQNA – Programu ya ‘Noor’, inayorushwa kupitia Kituo cha Televisheni  cha Naas nchini Misri, iliwasilisha ujumbe wa elimu na malezi kwa mtindo rahisi kwa ajili ya watoto katika kipindi chake kipya siku ya Ijumaa.
17:04 , 2026 Jul 19
9 10 11 12