IQNA

Sanaa za Kiislamu za karne 15 katika maonyesho jijini Jeddah

Sanaa za Kiislamu za karne 15 katika maonyesho jijini Jeddah

IQNA – Nyumba ya Sanaa za Kiislamu jijini Jeddah, ambayo ni makumbusho ya kwanza nchini Saudi Arabia kujikita kikamilifu katika sanaa ya Kiislamu, huhifadhi zaidi ya vitu adimu 1,000 vya kihistoria vinavyosambaa katika kipindi cha karne 15 kutoka sehemu mbalimbali za ulimwengu wa Kiislamu — kuanzia China na India hadi Maghreb na Andalusia.
15:58 , 2026 Jul 25
Zaidi ya Mawakib 13,500 zasajiliwa kutoa huduma katika Matembezi ya Arbaeen

Zaidi ya Mawakib 13,500 zasajiliwa kutoa huduma katika Matembezi ya Arbaeen

IQNA – Zaidi ya Mawakib (vituo vya kutoa huduma bila malipo) 13,500 kutoka mikoa mbalimbali ya Iraq, pamoja na kutoka mataifa ya Kiarabu, Kiislamu na nchi nyingine za kigeni, zimesajiliwa kushiriki katika maonyesho na matembezi ya Arbaeen ya mwaka huu.
15:49 , 2026 Jul 25
Mbunge wa Malaysia: Kujifunza kusoma na kufahamu Qur’ani Tukufu ni Suala la lazima kwa kizazi kipya

Mbunge wa Malaysia: Kujifunza kusoma na kufahamu Qur’ani Tukufu ni Suala la lazima kwa kizazi kipya

IQNA – Mbunge mmoja wa Malaysia kutoka jimbo la Sarawak amesisitiza umuhimu wa kizazi kipya kujifunza kusoma na kuelewa Qur’ani Tukufu.
15:35 , 2026 Jul 25
Mashambulizi dhidi ya Msikiti mmoja kila baada ya siku tano Uingereza

Mashambulizi dhidi ya Msikiti mmoja kila baada ya siku tano Uingereza

IQNA – Taasisi ya British Muslim Trust (BMT) imebainisha kuwa, kwa wastani, msikiti mmoja hushambuliwa kila baada ya siku tano nchini Uingereza.
15:27 , 2026 Jul 25
Matembezi ya Arbaeen ni dhihirisho lisilo na mfano la uhusiano wa kina kati ya Iran na Iraq

Matembezi ya Arbaeen ni dhihirisho lisilo na mfano la uhusiano wa kina kati ya Iran na Iraq

IQNA – Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, ameangazia undani wa mafungamano ya kiutamaduni na ya kiimani kati ya mataifa ya Iran na Iraq, na kueleza matembezi makubwa ya Arbaeen kuwa ni dhihirisho lisilo na mfano la mafungamano hayo.
16:38 , 2026 Jul 24
Vijana 600 waliohifadhi Qur’ani Tukufu waenziwa Ukanda wa Gaza

Vijana 600 waliohifadhi Qur’ani Tukufu waenziwa Ukanda wa Gaza

IQNA – Hafla maalumu imeandaliwa kwa ajili ya kuwatunuku zawadi na kuwaenzi vijana 600 waliohifadhi Qur’ani Tukufu katika Ukanda wa Gaza.
16:33 , 2026 Jul 24
Hamas na Jordan zalaani uvamizi wa walowezi wa Kizayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa

Hamas na Jordan zalaani uvamizi wa walowezi wa Kizayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa

IQNA – Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa  Palestina, Hamas, imelaani uvamizi wa walowezi wa Kizayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa jijini Al Quds (Jerusalem), ikionya kuwa vitendo hivi vya wazi vya uchokozi vitamalizika kwa hasara ya utawala ghasibu wa Israel na walowezi wa Kizayuni.
16:24 , 2026 Jul 24
Tarjuma za Kidijitali za Qur’ani Tukufu katika lugha 44 zawekwa mtandaoni

Tarjuma za Kidijitali za Qur’ani Tukufu katika lugha 44 zawekwa mtandaoni

IQNA – Tarjuma na tafsiri za Qur’ani Tukufu katika lugha 44 zimewekwa mtandaoni na zinapatikana bure bila malipo.
16:15 , 2026 Jul 24
Indhari ya Al-Azhar kuhusu kushadidi chuki dhidi ya Uislamu katika Kombe la Dunia

Indhari ya Al-Azhar kuhusu kushadidi chuki dhidi ya Uislamu katika Kombe la Dunia

IQNA-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Kupambana na Misimamo Mikali kimeonyesha wasiwasi mkubwa kufuatia ongezeko la matamshi ya chuki na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) wakati wa michuano ya Kombe la Dunia ya mwaka 2026.
16:04 , 2026 Jul 23
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yatafanyika ana kwa ana ikiwa hali ya usalama itatengamaa

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yatafanyika ana kwa ana ikiwa hali ya usalama itatengamaa

IQNA – Mkuu wa Shirika la Awqaf na Mambo ya Hisani la Iran amebainisha kuwa hatua ya fainali ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran yatafanyika ana kwa ana, ikiwa tu hali ya usalama itaruhusu kufanyika kwa hafla hiyo kuu.
15:26 , 2026 Jul 22
Ziara tukufu ya Arbaeen itafanyika kwa usalama wa hali ya Juu

Ziara tukufu ya Arbaeen itafanyika kwa usalama wa hali ya Juu

TEHRAN – Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa hatua zote muhimu zimechukuliwa ili kuhakikisha kuwa ziara ya Arbaeen inafanyika kwa utaratibu, usalama, na utulivu wa hali ya juu.
15:23 , 2026 Jul 22
Matembezi ya waliofanikiwa kuhifadi Qur'ani Tukufu  Nchini Morocco

Matembezi ya waliofanikiwa kuhifadi Qur'ani Tukufu Nchini Morocco

IQNA– Katika mwendelezo wa kuenzi utamaduni wa kuhifadhi Qur'ani Tukufu, matembezi makubwa ya wahifadhi wa Qur'ani yamefanyika katika mji wa Tifelt, Morocco, ili kusherehekea wahitimu waliofanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu. Tukio hilo la kiroho liliambatana na mahudhurio ya viongozi wa kidini, maafisa wa serikali, na wakazi wa mji huo, kama ilivyoripotiwa na Tifeltpress.
15:16 , 2026 Jul 22
Meya Mamdani ataka Marekani itekeleze hati ya kukamatwa kwa Netanyahu kwani ni  mhalifu wa kivita

Meya Mamdani ataka Marekani itekeleze hati ya kukamatwa kwa Netanyahu kwani ni mhalifu wa kivita

IQNA – Meya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, amemtaja Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuwa ni mhalifu wa kivita, na kuitaka serikali ya Marekani kutekeleza hati ya kukamatwa kwake iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iwapo atatia mguu katika ardhi ya Marekani.
15:08 , 2026 Jul 22
Sherehe ya kuwaenzi Wahifadhi wa Qur'an nchini Mauritania

Sherehe ya kuwaenzi Wahifadhi wa Qur'an nchini Mauritania

IQNA – Katika mwendelezo wa kuimarisha utamaduni wa elimu ya Kiislamu, sherehe ya kipekee imefanyika katika mji mkuu wa Mauritania, Nouakchott, kwa ajili ya kuwapongeza wanafunzi 45 kutoka eneo la Amboud (M’Bout) ambao wamefanikiwa kuhifadhi Qur'an Tukufu kikamilifu.
14:53 , 2026 Jul 22
Arbaeen ni fursa ya kipekee ya kueneza utamaduni wa Qur’ani

Arbaeen ni fursa ya kipekee ya kueneza utamaduni wa Qur’ani

IQNA – Mkuu wa Makao Makuu ya Kati ya Arbaeen nchini Iran amesisitiza umuhimu wa matembezi ya kila mwaka ya Arbaeen kama fursa adhimu ya kueneza utamaduni wa Qur’ani.
16:03 , 2026 Jul 21
8 9 10 11