iqna

IQNA

qarii
CAIRO (IQNA) - Duru ya Qur'ani ilifanyika katika Msikiti wa Imam Hussein (AS) huko Cairo kwa kushirikisha baadhi ya makari mashuhuri.
Habari ID: 3477751    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/18

Taazia
TEHRAN (IQNA) – Qarii (msomaji wa Qur'ani) mashuhuri Sheikh Abdullah Kamel amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38 huko New Jersey, Marekani, mapema wiki hii.
Habari ID: 3476934    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/30

Kilele cha Qiraa
TEHRAN (IQNA)- Sera moja muhimu zaidi ya Shirika la Habari la IQNA ni usambazaji wa elimu ya kukuza ufahamu wa usomaji wa Qur’ani Tukufu. Kwa msingi huo, tunasambaza klipi za wasomaji bingwa wa Qur’ani Tukufu chini ya anuani ya ‘Kilele cha Qiraa’. Katika sehemu ya arobaini na moja tunasikiza qiraa ya Ustadh Sheikh Mohammad Mohammad Hulail. Qiraa yake inaanzia 00:54
Habari ID: 3476925    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/28

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Ramadhani ni mwezi uliobarikiwa ambapo Mtume Muhammad SAW aliteremshiwa Qur’ani Tukufu. Ni mwezi ambao Waislamu hutumia muda mwingi kusoma na kutafakari kuhusu Qur’ani Tukufu. Ifuatayo ni kisomo cha qarii mashuhuri wa wa Misri marehemu Sheikh Mustafa Ismail kuhusu mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476763    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/26

Taazia
TEHRAN (IQNA) – Khaled Abdul Basit Abdul Samad, mtoto wa marehemu qari maarufu wa Misri Ustadh Abdul Basit Abdul Samad alifariki siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3476392    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/12

TEHRAN (IQNA) – Kongamano la mazungumzo ya dini mbalimbali lilifanyika nchini Bahrain mapema mwezi huu na lilihudhuriwa na Kiongozi wa Kanisa Katoloki Papa Francis na Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu Al-Azhar cha Misri Sheikh Ahmed el-Tayeb.
Habari ID: 3476161    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Abdullah Mustafa, qarii wa Qur'ani Tukufu Misri mwenye ulemavu wa macho amehofadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu kwa kusikiliza kupitia redio na simu yake ya mkononi.
Habari ID: 3475667    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23

Qarii wa Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Klipu hii hapa chini inaonyesha qarii mtajika wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri Mustafa Ismail akisoma aya yza 30-36 za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475390    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/18

Qarii wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu imesambaa katika mitandao ya kijamii kuhus Qarii wa Misri, Marhum Sheikh Antar Saeed Musallam akisoma dua kabla ya kuanza qiraa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475327    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/02

TEHRAN (IQNA)- Qarii maarufu wa Misri, Sheikh Ahmed Ahmed Noaina amesoma Qur'ani Tukufu katika Msikiti wa Hagia Sophia huko Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3475206    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/04

TEHRAN (IQNA)- Mohamed Ibrahim Ahmed Ghanim ni kijana Mmisri aliyeibuka mshindi katika shindano la qiraa katika Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tanzania mwaka huu.
Habari ID: 3475199    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02

TEHRAN (IQNA)- Kikao cha kumuenzi qarii maarufu wa Misri Marhum Mohammad Siddiq El-Minshawi kimefanyika kwa njia ya intaneti kwa hisani ya Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA) na Taasisi ya Iran ya Ahsan ul Hadith.
Habari ID: 3474828    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19

TEHRAN (IQNA)-Klipu ya qarii maarufu wa Lebanon Ustadh Hamza Mon’em akisema baadhi ya aya za Sura Aal Imran katika Qur'ani Tukufu imesambaa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3474653    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/08

TEHRAN (IQNA)- Qarii wa kimataifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mahdi Ghulamnejad amesambaza klipu inayomuonyesha yeye na mwanae wakisoma pamoja sehemu ya Sura Al Balad katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474636    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04

Leo katika historia
TEHRAN (IQNA)- atika siku kama ya leo miaka 33 iliyopita, aliaga dunia katika mji wa Cairo Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Samad, mmoja wa waalimu na ma qarii wakubwa wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474621    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30

TEHRAN (IQNA)- Katika mitandao ya kijamii kumesambaa kilpu ya Qarii Abdullah Khaled wa Pakistan akiwa anasoma aya za Surah Ibrahim.
Habari ID: 3474610    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28

TEHRAN (IQNA)- Qarii na hafidh wa Qur’ani Tukufu Misri, Mahmoud Abdul Sattar al Utwa amefariki akiwa na umri wa miaka 26.
Habari ID: 3474299    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/15

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Murad Sabati ni qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu nchini Algeria ambaye ana sauti nzuri.
Habari ID: 3474251    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/02

TEHRAN (IQNA)- Qarii au msomaji wa Qur’ani Tukufu nchini Misri amefariki dunia akiwa anasoma Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474143    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/31

TEHRAN (IQNA)- Bi kizee aliye na umri wa miaka 90 nchini Misri amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu na ana uwezo wa kusoma kwa mbinu 10 tafauti.
Habari ID: 3474043    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/26