IQNA – Hafla maalum imefanyika katika Haram Takatifu ya Imamu Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, kumuenzi Ayatullah Abdollah Javadi Amoli, mwanazuoni mwandamizi wa Kishia kutoka Iran, kwa mchango wake mkubwa na wa maisha yote katika kuandika tafsiri ya Qur’ani Tukufu na kufunza falsafa ya Kiislamu.
16:45 , 2025 May 14