IQNA

Iran yatangaza mipaka ya kutokea na kuingia kwa mazuwar wa kigeni wa Arbaeen

Iran yatangaza mipaka ya kutokea na kuingia kwa mazuwar wa kigeni wa Arbaeen

IQNA – Makao Makuu ya Ziyara ya Arbaeen nchini Iran, katika taarifa yake, yametangaza mipaka ya kutokea na kuingia kwa mazuwar wa kigeni wa Arbaeen ya Imam Hussein (AS) wanaosafiri kwenda Iraq kupitia Iran.
21:56 , 2026 Jul 15
Qarii Mashuhuri wa Iran asoma Qur’ani katika Majlisi ya Kumbukumbu ya Kiongozi Shahidi

Qarii Mashuhuri wa Iran asoma Qur’ani katika Majlisi ya Kumbukumbu ya Kiongozi Shahidi

TEHRAN (IQNA) – Qari mashuhuri wa Iran, ndugu Qassem Moqaddami, amesoma aya tukufu kutoka Surah Al-Fajr katika majlisi ya kumbukumbu ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, iliyofanyika mjini Tehran tarehe 14 Julai 2026.
15:39 , 2026 Jul 15
Chuo kipya cha Qur’ani chazinduliwa Yemen

Chuo kipya cha Qur’ani chazinduliwa Yemen

IQNA – Chuo Kikuu cha Qur’ani na Shule ya Mafunzo ya Kidini cha Juu kimefunguliwa katika mji wa Rida, mkoani Bayda, nchini Yemen, Jumapili.
17:29 , 2026 Jul 14
Makumbusho ya Makka yanawasilisha historia ya kuhifadhiwa kwa Qur’ani

Makumbusho ya Makka yanawasilisha historia ya kuhifadhiwa kwa Qur’ani

IQNA – Makumbusho mapya katika Eneo la Kitamaduni la Hira jijini Makka yanawazamisha wageni katika bahari ya historia ya uandishi wa Qur’ani Tukufu.
17:23 , 2026 Jul 14
Kongamano lajadili 'Mwelekeo wa Kihistoria wa Sanaa ya Usomaji wa Qur’ani nchini Misri'

Kongamano lajadili 'Mwelekeo wa Kihistoria wa Sanaa ya Usomaji wa Qur’ani nchini Misri'

IQNA – Maktaba ya Alexandria imeandaa kongamano lililopewa anuani ya: “Usomaji wa Qur’ani nchini Misri; Utafiti wa Ukuzaji na Kuporomoka Kwake,” ikiwa ni sehemu ya programu ya kiutamaduni katika Maonesho ya Vitabu ya Kimataifa ya maktaba hiyo.
17:17 , 2026 Jul 14
Vatikani yapinga madai ya Balozi wa Trump kuhusu Ukosoaji wa Papa kwa Vita dhidi ya Iran

Vatikani yapinga madai ya Balozi wa Trump kuhusu Ukosoaji wa Papa kwa Vita dhidi ya Iran

IQNA – Vatikani (Vatican) imekataa jaribio la balozi wa utawala wa Trump katika Vatikan la kuwasilisha ukosoaji wa Papa Leo wa XIV dhidi ya vita vya Marekani dhidi ya Iran kana kwamba ulikuwa uingiliaji wa kisiasa badala ya msimamo wa kidini.
17:05 , 2026 Jul 14
Mwandishi wa Iraq: Ushiriki wa Mamilioni katika Mazishi ya Kiongozi Shahidi una ujumbe wenye nguvu

Mwandishi wa Iraq: Ushiriki wa Mamilioni katika Mazishi ya Kiongozi Shahidi una ujumbe wenye nguvu

IQNA – Uwepo wa mamilioni ya waumini katika misafara ya mazishi iliyofanyika nchini Iran na Iraq kwa ajili ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, unabeba ujumbe muhimu, wa kina na wenye nguvu.
16:56 , 2026 Jul 14
Maqari wa Iran wasoma Sura Ad-Duha kwa mtindo wa Munafisah

Maqari wa Iran wasoma Sura Ad-Duha kwa mtindo wa Munafisah

IQNA – Maqari wa Iran wasoma aya za Qur’ani Tukufu kwa mtindo wa munafisah.
15:40 , 2026 Jul 14
Mikataba ya dola milioni 13.4 katika Maonyesho ya Halal ya D-8 Indonesia

Mikataba ya dola milioni 13.4 katika Maonyesho ya Halal ya D-8 Indonesia

IQNA – Waandaji wa Maonyesho ya Halal ya nchi za D-8 nchini Indonesia (D-8 HEI) 2026 wametangaza kuhitimishwa rasmi kwa hafla hiyo siku ya Jumapili, wakiripoti jumla ya mikataba yenye thamani ya Rupia (Rp) bilioni 242 sawa na 13.4 million USD za huduma na bidhaa za Halal.
17:20 , 2026 Jul 13
ICRO imeandaa Tuzo ya Kimataifa ya Arbaeen Toleo la 12

ICRO imeandaa Tuzo ya Kimataifa ya Arbaeen Toleo la 12

IQNA – Shirika la Iran la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu (ICRO) limeandaa tuzo ya 12 ya Kimataifa ya Arbaeen mwaka huu.
17:07 , 2026 Jul 13
Wanafunzi kutoka Austria wajifunza kuhusu Uislamu katika Kituo cha Kiislamu cha Vienna

Wanafunzi kutoka Austria wajifunza kuhusu Uislamu katika Kituo cha Kiislamu cha Vienna

IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Vienna, jijini Vienna nchini Austria, kimekaribisha makundi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali nchini humo siku kadhaa kabla ya kuanza kwa likizo ya masomo.
16:59 , 2026 Jul 13
Albanese ataka hati ya haraka ya kukamatwa kwa Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni

Albanese ataka hati ya haraka ya kukamatwa kwa Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni

IQNA – Mtaalamu Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ardhi za Palestina Zinazokaliwa kwa Mabavu, Francesca Albanese, ametoa wito siku ya Jumapili kwa hati ya haraka ya kukamatwa kwa Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni, Yisrael Katz, baada ya waziri huyo kukiri kufanya jinai za kivita huko Gaza na Lebanon.
16:54 , 2026 Jul 13
Mahujaji wa Umrah watembelea Kituo cha Uchapishaji wa Qur’ani Tukufu cha Madina

Mahujaji wa Umrah watembelea Kituo cha Uchapishaji wa Qur’ani Tukufu cha Madina

IQNA – Kundi la waumini wanaotekeleza Hija ndogo ya Umrah lilitembelea siku ya Jumamosi Kituo cha Mfalme Fahd cha Uchapishaji wa Qur’ani Tukufu mjini Madina.
16:51 , 2026 Jul 13
Kituo cha Qur’ani cha Al-Nour huko Gaza chaendelea na shughuli zake licha ya masaibu ya vita

Kituo cha Qur’ani cha Al-Nour huko Gaza chaendelea na shughuli zake licha ya masaibu ya vita

IQNA – Kituo cha Qur’ani cha Al-Nour kilichopo kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kinaendelea na shughuli zake za kutoa elimu ya Kiislamu licha ya changamoto chungu nzima zinazotokana na vita vya kikatili.
20:46 , 2026 Jul 12
Askofu wa Kyrgyzstan Asifu Misingi ya Kiungu na Heshima kwa Dini Iliyohimizwa na Kiongozi Shahidi

Askofu wa Kyrgyzstan Asifu Misingi ya Kiungu na Heshima kwa Dini Iliyohimizwa na Kiongozi Shahidi

IQNA – Askofu wa Kanisa la Othodoksi la Bishkek, nchini Kyrgyzstan, amemwelezea Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, kama kielelezo hai cha maadili na misingi ya Kiungu.
20:29 , 2026 Jul 12
11 12 13 14