IQNA

Mazishi ya Kiongozi Shahidi yadhihirisha udugu na mshikamano wa Wairani na Wairaqi

Mazishi ya Kiongozi Shahidi yadhihirisha udugu na mshikamano wa Wairani na Wairaqi

IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, amesema kuwa misafara ya mazishi ya Kiongozi Shahidi, iliyohudhuriwa na mamilioni ya watu, imedhihirisha kikamilifu upana wa huruma, udugu, na mshikamano uliopo kati ya mataifa mawili ya Iraq na Iran.
16:50 , 2026 Jul 19
Kiongozi Shahidi Aliishi Katika Ulinzi wa Qur’ani: Msomaji wa Qur’ani kutoka Yemen

Kiongozi Shahidi Aliishi Katika Ulinzi wa Qur’ani: Msomaji wa Qur’ani kutoka Yemen

IQNA – Msomaji mahiri wa Qur’ani na jaji wa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani kutoka Yemen amesema kuwa yeyote anayetafakari mafunzo ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, atatambua kuwa aliishi maisha yake yote ndani ya ulinzi na mwongozo wa Qur’ani Tukufu.
17:12 , 2026 Jul 18
Usomaji wa kipekee wa Qur’ani katika Msimu wa Pili wa Shindano la “Dawlet El-Tilawa” nchini Misri

Usomaji wa kipekee wa Qur’ani katika Msimu wa Pili wa Shindano la “Dawlet El-Tilawa” nchini Misri

IQNA – Msururu wa usomaji wa Qur’ani wenye kuvutia ambao uliwapagawisha majaji na hadhira kwa pamoja umeshuhudiwa katika raundi za awali za msimu wa pili wa shindano la “Dawlet El-Tilawa” (Dola ya Usomaji) nchini Misri. Tukio hili linadhihirisha kipaji cha kipekee na juhudi za hali ya juu za washiriki kutoka sehemu mbalimbali za nchi hiyo katika kulihudumia Kitabu Kitukufu.
16:55 , 2026 Jul 18
Ubao adimu wa Khati ya Qur’ani ya karne ya 19 waonyeshwa katika Makumbusho ya Bahari ya Shamu

Ubao adimu wa Khati ya Qur’ani ya karne ya 19 waonyeshwa katika Makumbusho ya Bahari ya Shamu

IQNA – Ubao adimu wa Khati ya Qur’ani Tukufu wa karne ya 19 unaonyeshwa katika Makumbusho ya Bahari ya Shamu (Red Sea Museum) jijini Jeddah.
16:45 , 2026 Jul 18
Vikosi vya Hashd al-Shaabi vya Iraq vaanza utekelezaji wa mpango maalum wa huduma kwa ajili ya Arbaeen

Vikosi vya Hashd al-Shaabi vya Iraq vaanza utekelezaji wa mpango maalum wa huduma kwa ajili ya Arbaeen

IQNA – Vikosi vya Hashd al-Shaabi (Jeshi la Kujitolea la Wananchi) vya Iraq vimetangaza siku ya Ijumaa kuwa vimeanza kutekeleza mpango maalum wa kuhudumia mamilioni ya mazuwaru wanaoelekea kwenye matembezi ya Arbaeen.
16:33 , 2026 Jul 18
Wito wa kuchukua hatua kukabiliana na Chuki  Dhidi ya Uislamu nchini Australia

Wito wa kuchukua hatua kukabiliana na Chuki Dhidi ya Uislamu nchini Australia

IQNA - Waislamu nchini Australia wanahitaji mabadiliko ya kudumu ili kukomesha ubaguzi, kulingana na mwandishi wa ripoti muhimu iliyobainisha kuwa hatua kubwa zaidi zinahitajika ili kung’oa mzizi wa chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
16:26 , 2026 Jul 18
Ukandamizaji Dhidi ya wanazuoni wa Kishia waongezeka nchini Bahrain

Ukandamizaji Dhidi ya wanazuoni wa Kishia waongezeka nchini Bahrain

IQNA – Jumuia kuu ya upinzani nchini Bahrain, Jumuia ya Kitaifa ya Kiislamu ya al-Wefaq, imetoa tamko likitaka uingiliaji wa haraka wa mashirika ya kimataifa ili kusitisha ukandamizaji uliopangwa dhidi ya wanazuoni Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
08:22 , 2026 Jul 17
Mwislamu ajeruhiwa kwa kisu huko Utah kwa sababu ya Imani yake

Mwislamu ajeruhiwa kwa kisu huko Utah kwa sababu ya Imani yake

IQNA – Mfanyakazi mmoja Mwislamu wa vibanda vya biashara amechomwa kisu zaidi ya mara 15 ndani ya kituo cha ununuzi (mall) huko Utah, Marekani, na mtu ambaye baadaye alikiri kwa polisi kuwa alikusudia kumuua “kwa sababu ya dini yake.”
08:06 , 2026 Jul 17
Msahafu wa miaka elfu moja waangaziwa katika Maonyesho ya Makka

Msahafu wa miaka elfu moja waangaziwa katika Maonyesho ya Makka

IQNA – Nakala nadra ya Qur’ani Tukufu, inayokadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 1,000, kwa sasa inawavutia wageni wengi katika Maonesho ya ‘Iqra’ yanayofanyika katika Msikiti Mtukufu (Al-Masjid al-Haram) huko Makka.
07:58 , 2026 Jul 17
Mamlaka za Uingereza zamfungulia mashtaka aliyehusika na mpango wa kushambulia Misikiti ya London

Mamlaka za Uingereza zamfungulia mashtaka aliyehusika na mpango wa kushambulia Misikiti ya London

IQNA – Mamlaka za Uingereza zimemfungulia mashtaka kijana mmoja kufuatia uchunguzi wa njama zilizodaiwa kuwa zililenga kushambulia misikiti katika jiji la London.
07:52 , 2026 Jul 17
Iran yaonya italenga miundombinu yote ya eneo iwapo miundombinu yake itashambuliwa

Iran yaonya italenga miundombinu yote ya eneo iwapo miundombinu yake itashambuliwa

IQNA-Iran imeonya kwamba italenga kila miundombinu iliyosalia katika eneo hili iwapo miundombinu yake itashambuliwa.
14:47 , 2026 Jul 16
Makala 500 za utafiti zawasilishwa katika Kongamano la 6 la Kimataifa la Afya katika Arbaeen

Makala 500 za utafiti zawasilishwa katika Kongamano la 6 la Kimataifa la Afya katika Arbaeen

TEHRAN – Mkuu wa kamati ya kisayansi ya Kongamano la 6 la Kimataifa la “Afya katika Arubaini” ametangaza kuwa jumla ya karatasi za utafiti 500 zimewasilishwa katika sekretarieti ya kongamano hilo.
23:31 , 2026 Jul 15
Chuo cha Qur’ani nchini Kosovo chazindua darsa za likizo ya kiangazi

Chuo cha Qur’ani nchini Kosovo chazindua darsa za likizo ya kiangazi

IQNA – Katika kuamsha ari ya mapenzi ya Kitabu cha Mwenyezi Mungu wakati wa likizo ya kiangazi, Chuo cha Tahfidh cha “Little Memorizers” (Wahifadhi Wadogo) mjini Pristina, kinachofanya kazi chini ya usimamizi na usimamizi wa kiroho wa Msikiti Mkuu wa Kosovo, kimezindua rasmi programu yake maalum ya “Darsa za Kiangazi za Mwaka 2026.”
23:11 , 2026 Jul 15
Washindi wa Tuzo ya Kimataifa ya Ushairi ya ‘Imamu Shahidi’ Watunukiwa

Washindi wa Tuzo ya Kimataifa ya Ushairi ya ‘Imamu Shahidi’ Watunukiwa

IQNA – Washindi wa duru ya kwanza ya Tuzo ya Kimataifa ya Ushairi ya “Imamu Shahidi” walitangazwa na kutunukiwa katika hafla iliyofanyika mjini Tehran siku ya Jumanne.
22:35 , 2026 Jul 15
Shule ya Qur’an yazinduliwa katika mkoa wa Osh, Kyrgyzstan

Shule ya Qur’an yazinduliwa katika mkoa wa Osh, Kyrgyzstan

IQNA – Shule mpya ya Qur’an imezinduliwa katika eneo la Myrza-Ake, katika mji wa Uzgen, Mkoa wa Osh, nchini Jamhuri ya Kyrgyzstan.
22:09 , 2026 Jul 15
10 11 12 13