iqna

IQNA

facebook
TEHRAN (IQNA)- Kampuni kubwa ya mitandao ya kijamii ya Marekani ya Facebook imefuta "daima" ukurasa wa mtandao wa habari wa televisheni ya Iran wa al-Alam TV kwenye jukwaa lake bila kutoa notisi yoyote mapema.
Habari ID: 3475020    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/07

TEHRAN (IQNA)-Kampuni moja ya mawakili yenye makao yake makuu London imetuma barua rasmi ya malalamiko kwa Facebook kuhusu misimamo yake dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3474964    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/23

TEHRAN (IQNA) – Mamia ya watu kutoka dini mbali mbali wamekusanyika katika miji kadhaa mikubwa Marekani kulaani hatua ya Facebook kuruhusu matamshi ya chuki dhidi ya Waislamu nchini India.
Habari ID: 3474564    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16

TEHRAN (IQNA)- Mfanyakazi wa zamani wa mtandao wa Facebook amesema shirika hilo la Kimarekani lilipuuza kwa makusudi taaraifa zilizo na chuki dhidi ya Waislamu ambazo zilikuwa zikienezwa katika mtandao huo nchini India.
Habari ID: 3474396    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/08

Afisa wa Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa taasisi ya Umoja wa Mataifa inayochunguza jinai dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar amesema Shirika la Facebook limekataa kutoa ushahidi wa jinai za kimataifa hata baada ya kuahidi kushirikiana kuhusu katika kadhia hiyo.
Habari ID: 3473058    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/11

TEHRAN (IQNA)- Waandishi habari Wapalestina wameandamana nje ya ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Ghaza kulalamikia mwenendo wa mtandao wa kijamii wa Facebook kufunga akaunti za Wapaletina.
Habari ID: 3471419    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/06

IQNA-Mtandao wa kijamii wa Facebook unalaumiwa kwa kufuta akaunti za wanaharakati na waandishi habari wanaopinga utawala haramu wa Israel na kutetea ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3470636    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/26

Vikosi vya usalama nchini Saudi Arabia vimezishambulia nyumba kadhaa za jamii ya Waislamu wa Kishia katika mji wa Awamiya katika mkoa wa Qatif wakati huu ambapo utawala wa Saudi Arabia umezidisha vitendo vyake vya ukandamizaji dhidi ya wapinzani nchini humo.
Habari ID: 2699769    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/12