iqna

IQNA

imamu
Taazia
IQNA - Kamera ya usalama katika msikiti mmoja nchiniIndonesia ilirekodi wakati imamu alipoaga dunia wakati akiongoza sala ya asubuhi mnamo Januari 2, 2024.
Habari ID: 3478155    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/06

TEHRAN (IQNA) – Ili kupata marudio yoyote, tunapaswa kumfuata mtu anayeijua njia vizuri.
Habari ID: 3477749    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

TEHRAN (IQNA)-Ma imamu wa Kishia ni kumi na wawili kutoka katika kizazi cha Mtume Muhammad SAW ambao kwa mujibu wa riwaya za kuaminika, ni warithi wa Mtume na baada yake wanatambulika kama Ma imamu wa jamii ya Kiislamu. Mashia wanaamini kwamba Ma imamu hawa wamechaguliwa na Mungu, lakini kwanini?
Habari ID: 3475037    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/14

TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Maswala ya Kidini ya Algeria imelaani mauaji ya imamu wa msikiti katika mkoa wa kaskazini wa Tizi Ouzou wakati akisali Sala ya Alasiri jioni msikitini.
Habari ID: 3474123    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/24

Mshukiwa mmoja amefikishwa mahakamani Marekani baada ya kubainika kuwa alimpiga risasi na kumua Imamu wa msikiti na Mwislamu aliyekuwa naye huko mjini New York huku Waislamu wakitaka uadilifu na haki.
Habari ID: 3470526    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/17

Imam wa msikiti mmoja katika jimbo la New York nchini Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika hujuma ya kigaidi.
Habari ID: 3470522    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/14