Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Taarifa ya pamoja ya Wizara ya Intelijensia ya Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imesema mashirika ajinabi ya kijasusi yakiongozwa na Shirika Kuu la Ujasusi la Marekani (CIA) yamekuwa na mchango mkubwa katika kupanga na kuratibu ghasia na fujo zilizoshuhudiwa hapa nchini kwa wiki kadhaa.
Habari ID: 3476005 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/29