Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameitaja tarehe 9 Dei (30 Disemba) kuwa, muhuishaji wa dini kwa baraka za mahudhurio ya wananchi ambao walisambaratisha njama za maadui na kulirejeshea taifa hili utulivu uliokuwa umetoweka.
Habari ID: 3476332 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/30
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema: "Mapinduzi ya Kiislamu sawa na matukio ya Ashura na Ghadir ni akiba isiyomalizika na inapaswa kutumiwa ipasavyo."
Habari ID: 3474887 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/04
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni mwandamizi nchini Iran amesema Qur'ani Tukufu ni muujiza wa kudumu.
Habari ID: 3474740 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/29