iqna

IQNA

dunia
Kiongozi Muadhamu na Masuala ya Kimataifa
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha sababu za hali maalumu dunia ni sasa na kusema kusema katika hali ya sasa ya dunia , uendeshaji mambo umekuwa mgumu kwa nchi zote.
Habari ID: 3475295    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/25

TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika baadhi ya nchi wameanza Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mnamo Aprili 13 baada ya mwezo mwandamo kuonekana Jumatatu katika baadhi ya maeneo ya dunia .
Habari ID: 3473808    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/13

Hali ya hatari duniani
TEHRAN (IQNA)- Hatimaye ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19 umetangazwa kuwa sasa umeenea dunia ni kote (global pandemic), amesema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, WHO, Dkt. Tedros Ghebreyesus.
Habari ID: 3472555    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/11

Mikutano wa "Wanafunzi Waislamu, Dunia Isiyo na Machafuko" na mwingine wa "Nafasi ya Wasomi wa Utamaduni Katika Ulimwengu wa Kiislamu ili Kufikia Dunia Isiyo na Machafuko" imepangwa kufanyika wiki ijayo nchini Senegal.
Habari ID: 3470292    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/04

Siku ya 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ni siku ya kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama Imam Mahadi (-Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake-af).
Habari ID: 3310767    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/03

Mjumbe mwandamizi wa Kamati ya Afya ya Shirikisho la Soka Duniani FIFA amesema kuwa, wachezaji Waislamu watakaofunga mwezi mtukufu wa Ramadhani, hawataathirika kiafya wakati wa kuendelea michuano ya kombe la dunia nchini Brazil.
Habari ID: 1422159    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/24

Sheikhe mkuu wa Al Azhar Ahmad Tayyib amehutubu katika sherehe za ufunguzi katika sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia Brazil baadaye hii leo
Habari ID: 1416916    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/12

Algeria imetaka waandalizi wa Kombe la Soka la Dunia 2014 kuwapa nakala za Qur’ani wachezaji na maafisa wa timu yake ya taifa.
Habari ID: 1399941    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/26