iqna

IQNA

apu
Teknolojia
IQNA - Kongamano la teknolojia ya Qur'ani Tukufu limepangwa kufunguliwa katika mji mkuu wa Saudia wa Riyadh wikendi hii. Itahudhuriwa na kundi la wataalam, wasomi na weledi wa teknolojia.
Habari ID: 3478316    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

Harakati za Qur'ani Tukufu
IQNA - Urais wa Haramain (misikiti miwili mitakatifu ya Makka na Madina) imezindua programu ya kujifunza Qur'ani Tukufu kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3478203    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/16

Uislamu na Teknolojia
IQNA-Jumuiya ya Kuhudumia Qur’ani Tukufu na Sunnah ya Al-Burhan imezindua apu mpya iliyopewa jina la Salim inayowasaidia watoto walio na umri wa chini ya miaka 8 kujifunza Quran bila ya kuhitaji mwalimu.
Habari ID: 3478054    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/18

Teknolojia katika Uislamu
ISLAMABAD (IQNA) – Msomi mmoja wa Pakistani ametengeneza programu ya kidijitali ya Qur'ani Tukufu ambayo hurahisisha kupata na kusoma Qur'ani Tukufu. Programu hiyo aidha inahakikisha kuwa uchapishaji Qur'ani Tukufu unafanyika bila makosa.
Habari ID: 3477507    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/28

Mwezi wa Ramadhani
Tehran (IQNA)- Uzingatiaji mila na desturi za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaweza kuwa mgumu kwa Waislamu wengi wanaoishi katika nchi zisizo za Kiislamu; Kwa hivyo, program au apu za simu za mkononi zimeundwa kwa ajili ya kuwahudumia.
Habari ID: 3476725    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/18

Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wametakiwa kuchukua tahadhari kuhusu nakala za Qur’ani Tukufu zilizo katika mitandao ya intaneti na aplikesheni kwani imebainika kuwa baadhi zimepotoshwa kwa makusudi.
Habari ID: 3476222    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/09

Qur'ani na Teknolojia
TEHRAN (IQNA)- Aplikesheni au Apu ya Qur’ani Tukufu yai "habloliman" imezinduliwa nchini Iran hivi karibuni ambapo humpa mtumiaji uwepo wa kusoma na kusikililiza Qur’ani Tukufu pamoja kozi 48 za mafunzo ya usomaji sahihi wa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3475894    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/07

TEHRAN (IQNA)- Aplikesheni maalumu ambayo inawasiadia Waislamu kuhitimisha Qur'ani Tukufu imezinduliwa hivi karibuni nchini Kuwait.
Habari ID: 3475250    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/14

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Qur'ani Tukufu kinachofungamana na Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS nchini Iraq imezindua applikesheni mpya ya simu za mkononi ambayo inawasaidia wanafunzi kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474856    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/26

TEHRAN (IQNA)- Shirika la Kimarekani la Apple ya limeondoa aplikesheni ya Quran Majeed katika simu zake zinazouzwa nchini China jambo ambalo limeibua maswali mengi juu ya malengo na sababu kitendo hicho.
Habari ID: 3474435    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/17