iqna

IQNA

Qaradaghi
Kadhia ya Palestina
DOHA (IQNA) - Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) ulitoa fatwa siku ya Jumanne, ukizitaka nchi za Kiislamu kuingilia kati ili kuwaokoa watu wa Gaza kutokana na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3477825    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/01

Watetezi wa Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Washiriki katika kongamano la kimataifa ambalo limeitishwa kujadili njia za kukabiliana na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu wamesisitiza haja ya ulimwengu wa Kiislamu kuwa na umoja na mshikamano wa uhakika ili kkukabiliana na vitendo hivyo vya kufuru.
Habari ID: 3477372    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/02

Matukio ya Palestina
Chuo kikuu jumuishi cha kimataifa cha mafundisho ya Kiislamu kimepangwa kuanzishwa mjini Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3477119    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/08

Zilzala Uturuki na Syria
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) ametoa wito kwa Waislamu walionuia kutekeleza safari ya ibada ya Hija ndogo ya Umrah kusitisha safari hiyo kwa sasa na badala yake kutumia fedha hizo kuwasaidia wahanga wa mitetemeko (zilzala) ya ardhi Uturuki na Syria.
Habari ID: 3476559    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14

Mtazamo wa Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani amelaani mauaji ya kiholela hivi karibuni katika shule huko Texas, Marekani ambapo watu 22 waliuawa huku akiashiria aya ya 32 ya Sura Al Maidah katika Qur'ani Tukufu inayozungumzia matukio kama hayo ya mauaji yasiyo na msingi.
Habari ID: 3475303    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/27

TEHRAN (IQNA) Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) amelaani vikali shambulio la kigaidi lililofanywa hivi karibuni katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran na kusababisha kuuawa shahidi maulamaa wawili.
Habari ID: 3475112    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/11

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) amelaani hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano na muungano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kusaini mikataba ya mapatano na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474612    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu amelaani vikali hujuma za hivi karibuni dhidi ya Waislamu nchini India huku akitoa wito wa kuanzishwa harakati yakimataifa ya kutetea Waislamu ambao wanaishi kama jamii za waliowachache.
Habari ID: 3474495    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu ametoa wito wa kudumishwa umoja wa umma wa Waislamu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kukabiliana na njama za maadui.
Habari ID: 3473847    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/25

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu (IUMS) imelaani vikali hatua ambazo serikali ya Ufaransa inachukua dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3473587    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/25

TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu (IUMS) imetoa fatua ya kuususia kikamilifu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kutangaza kwamba, haijuzu kuuuzia wala kununua chochote kinachozalishwa na utawala huo mpaka utakapokomesha ukaliaji wake ardhi kwa mabavu.
Habari ID: 3473524    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/04