iqna

IQNA

muislamu
Waislamu Marekani
IQNA – Uteuzi wa Diwani Shahana Hanif, mwanamke Muislamu, kama mwenyekiti mwenza wa Kikosi Kazi cha kupambana na chuki cha Jiji la New York umepongezwa.
Habari ID: 3478245    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/24

Mawaidha
IQNA-Kimsingi, kila anayetamka Shahada mbili anahesabiwa kuwa mfuasi wa Uislamu na hukmu za Uislamu zinamhusu yeye.
Habari ID: 3478197    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/14

TORONTO (IQNA) – Mwanamke Mwislamu anayevaa hijabu aliteuliwa na meya mpya aliyechaguliwa wa Toronto, Kanada Oliva Chow kama Naibu Meya wa eneo la kusini mwa jiji.
Habari ID: 3477427    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/13

Maadili mema ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Dereva wa teksi Muislamu huko Derby, Uingereza, amepongezwa kwa kuokoa maisha ya abiria wake mmoja.
Habari ID: 3475750    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/08

Waislamu na siasa Ulaya
TEHRAN (IQNA) - Akhtar Zaman amechaguliwa kama meya mpya wa mji wa Bolton nchini Uingereza, na kuwa Muislamu wa kwanza anayechukua nafasi hiyo.
Habari ID: 3475285    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/23

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Mwanamke mmoja Muislamu ameuhujumiwa akiwa ndani ya treni mjini London ambapo Hijabu yake imevutwa na mtu anayeaminikwa kuwa ni mwenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474960    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/22

TEHRAN (IQNA)- Paul Pogba, mchezaji mahiri wa timu ya Manchester United katika Ligi Kuu ya Premier nchini Uingereza anasema atakuwa amefunga saumu ya Ramadhani wakati wa mechi baina ya timu yake na Leeds United Jumapili 25 Aprili mchana.
Habari ID: 3473846    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/24

TEHRAN (IQNA)- Rais Joe Biden wa Marekani amemteua Mpakistani-Mmarekani, Zahid Qureishi kuwa jaji wa mahakama katika ngazi ya fiderali nchini humo.
Habari ID: 3473789    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/06

TEHRAN (IQNA) Mnyanyua vyuma wa kike kutoka Latvia, ambaye aliwahi kuwa bingwa wa dunia, Bi. Rebecca Koha ametangaza kusilimu.
Habari ID: 3473005    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/27

Hivi sasa tumo katika Wiki ya Umoja kati ya Waislamu ambayo ilitangazwa na hayati Imam Khomeini kutokana na hitilafu za mapokezi kuhusu siku aliyozaliwa Mtume Muhammad SAW. Wiki hiyo inaanzia tarehe 12 hadi 17 Rabiul Awwal.
Habari ID: 2684362    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/08