TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kuhuisha Turathi za Kiislamu ya Kuwait imesambaza mamia ya Misahafu na vitabu vya Kiislamu nchini Comoro.
Habari ID: 3474150 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/02
TEHRAN (IQNA) – Misri imetangaza sheria ya kutotoka nje kuanzia saa moja usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi kuanzia Jumatano kwa muda wa wiki mbili ili kukabiliana na kuenea kwa kasi uongjwa hatai wa COVID-19 maarufu kama corona.
Habari ID: 3472598 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/24
Mafunzo ya maalumu kuhifadhi na kusoma (tajwid) Qur'an Tukufu yamefanyika katika Visiwa vya Comoro kwa kuhudhuriwa nawanafunzi takribani 100.
Habari ID: 3470235 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/09
Ali Larijani
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani bunge la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataka kuimarisha umoja, udugu na mwamko wa Kiislamu katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 1448576 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/09