Akihutubu katika sherehe za kuwatunuku zawadi washindi, Habib bin Mohammed al Reyami, Katibu Mkuu wa Kituo cha Sutlan Qaboos cha Sayansi na Utamaduni amesema mashindano hayo yalifanyika kwa mara ya kwanza miaka 29 katika vituo vichache lakini sasa yameimarika na yanafanyika katika vituo vingi kote Oman.
Akizungumza katika hafla hiyo, Sheikh Dkt. Kahlan bin Nabhan al Kharousi, Naibu Mufti wa Oman alisema mashindano hayo yanalenga kuhimiza ufahamu wa Qur'ani Tukufu ili waweze kutekeleza maamurisho yake katika maisha.
https://iqna.ir/en/news/3470192/oman-quran-competition-winners-awarded