IQNA

Dua Faraj kwa ajili ya ya watoto wa wanaodhulumiwa Palestina + Video

Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina, kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya utawala wa Kizayuni huko Gaza, kwa wastani, mtoto wa Kipalestina huuawa shahidi kila baada ya dakika 10 katika eneo hilo.

Kutokana na hali hii ya kusikitisha, tumewaandalia, Dua Faraj kwa sauti ya Ali Fani, na imeandamana na taswira za mashahidi wa watoto wa Kipalestina.

Kishikizo: gaza ، watoto